MOI yawafanyia upasuaji watoto 30 wenye vichwa vikubwa

Leo tumewafanyia upasuaji watoto 30 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi. Upasuaji umefanyika katika kambi ya upasuaji iliyofadhiliwa na benki  ya Barclays Tanzania makao makuu. Kambi imekwenda sambamba na utoai wa kadi za bima ya afya (Toto card) kwa watoto 75.