Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI)

Offering Services in Orthopaedics, Neurosurgery, and Traumatology

Habari na Matukio

Date : 08 Jul 2016

MKUTANO WA PILI WA KIMATAIFA WA MADAKTARI WA MIFUPA WA WATOTO WAFUNGULIWA

Author :

• Zaidi ya watoto 20 kufanyiwa Upasuaji • Zaidi ya madaktari 100 kutoka Tanzania na nchi nyingine Afrika washiriki Mafunzo • Wakufunzi 12 kutoka vyuo vikuu vya Uturuki kutoa mafunzo

Date : 13 Oct 2016

MOI YAFANYA UPASUAJI MKUBWA WA KWANZA WA KUNYOOSHA MGONGO KWA WATOTO

Author :

Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji mkubwa kwa mafanikio makubwa wa kunyoosha mfupa wa mgongo wa mtoto uliopinda (Kibiongo) kitaalamu (Scoliosis).

Date : 26 Oct 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI DUNIANI 2016

Author :

Maandimisho ya siku ya Watoto wenye Vichwa vikubwa na Mgongo wazi duniani yamefanyika leo tarehe 25/10/2016 katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili MOI. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo ikiwa ni “Tushirikiane kuwalea watoto na kuwafuatilia”

Book Online

Saa za Kuona Wagonjwa

Jumatatu - Ijumaa

: 06:00 Asu - 07:00 Asu

: 06:00 AM - 07:00 AM

Jmosi / Jpili & Sikukuu

: 06:00 AM - 07:00 AM

: 07:00 PM - 08:00 PM

: 06:00 AM - 07:00 AM

Miradi & Ushirikiano