Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI)

Offering Services in Orthopaedics, Neurosurgery, and Traumatology

Habari na Matukio

Date : 19 Apr 2016

MKUTANO WA TATU WA MADAKTARI WA UBONGO,MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU WAFUNGULIWA

Author :

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mh Ummy Mwalimu (MB) jana alifungua mkutano wa kimataifa wa tatu wa madaktari bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu katika ukumbi wa wa mikutano wa LAPF makumbusho ,Dar es Salaam.

Date : 20 Apr 2016

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ,MH PAUL MAKONDA AZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA UPASUAJI KWA WATOTO

Author :

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda leo amezindua kampeni ya nchi nzima ya upasuaji kwa watoto wenye matatizo ya vichwa kujaa maji na Mgongo wazi kitaalam (Hydrocephulus and Spinal Bifida) ambapo zaidi ya watoto 100 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji

Date : 22 May 2016

TANNA MOI WAMUENZI BI FLORENCE NIGHTINGALE

Author :

Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI kupitia chama chao cha wauguzi Tangania (TANNA) wamemuenzi muasisi wa taaluma hiyo duniani Bi “Florence Nightingale” aliyezaliwa Mei 12 ,1880 kwa kuwasha taa kama ishara ya upendo kwa wagonjwa na kula kiapo cha kuendelea kutoa huduma bora kwa kusimamia maadili na taratibu za taaluma hii adhimu katika utoaji wa hudunma za Afya. Kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa “Wauguzi nguvu ya mabadiliko Uboreshaji, Udhibiti wa mfumo wa Afya”

Date : 06 Jun 2016

MADAKTARI KUTOKA ZAIDI YA NCHI 12 WAHUDHURIA MAFUNZO MOI

Author :

Na Mwandishi Wetu, Mkutano wa nne wa kimataifa wa mafunzo ya madaktari wa Mifupa duniani umefungwa leo baada ya kufanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 31 Mei mpaka tarehe 3 Juni , katika ukumbi wa mikutano MOI pamoja na vyumba vya upasuaji MOI. Mafunzo yakiratibiwa na MOI kwa kushirikiana na Taasisi za IGOT, SIGN, OTA na Chuo kikuu cha Calfonia San Francisco Marekani.

Date : 16 Jun 2016

2nd Paediatric Orthopaedic and Trauma Conference

Author :

Muhimbili orthopaedic institute (MOI) in collaboration with pediatric institutes in turkey present 2ND Paediatric orthopaedic/trauma course

Book Online

Saa za Kuona Wagonjwa

Jumatatu - Ijumaa

: 06:00 Asu - 07:00 Asu

: 06:00 AM - 07:00 AM

Jmosi / Jpili & Sikukuu

: 06:00 AM - 07:00 AM

: 07:00 PM - 08:00 PM

: 06:00 AM - 07:00 AM

Miradi & Ushirikiano