Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI)

Offering Services in Orthopaedics, Neurosurgery, and Traumatology

Habari na Matukio

Date : 24 Jan 2016

KAMPUNI YA MAFUTA YA DALBIT YATOA VITANDA 27 MOI

Author :

Kampuni ya Mafuta ya Dalbit Petroleum imeunga mkono jitihada za serikali za kuboresha huduma za afya hapa nchini kwa kutoa Vitanda 27 na magodoro vyenye thamani ya dola za kimarekani 7,500 (Milioni 16) kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI kwenye wodi ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Date : 29 Feb 2016

BARAZA LA TATU LA WAFANYAKAZI MOI LAZINDULIWA

Author :

Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya MOI Bi Zakia Meghji amezindua vikao vya Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa MOI jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa NIMR. Mkutano ukihudhuriwa na wajumbe zaidi ya 70 kutoka katika idara mbalimbali ambapo vikao vitafanyika kwa siku 3

Date : 13 Apr 2016

TIMU YA WAFANYAKAZI WA ZAMANI YA MOI YATOKA SULUHU NA TIMU YA WAFANYAKAZI WAPYA

Author :

Timu ya Mpira wa Miguu ya MOI ya wafanyakazi wa zamani imetoshana nguvu kwa kutoa sare ya bila ya kufungana na timu ya wafanyakazi wapya wa MOI katika pambano la kirafiki lililofanyika katika uwanja wa Muhimbili

Date : 30 Mar 2016

TAASISI YA GSM YATOA MILIONI 20 MOI

Author :

Taasisi ya GSM ya Dar es Salaam imetoa Msaada wa Shilingi Milioni 20 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI kwa ajili ya kununulia vifaa tiba na matibabu kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na Mgongo wazi kitaalamu ( Hydrocephulus & Spinal Bifida

Date : 05 Apr 2016

KAMATI YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA MUHIMBILI

Author :

Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imetembelea Muhimbili na kukagua shughuli za utoaji huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

Book Online

Saa za Kuona Wagonjwa

Jumatatu - Ijumaa

: 06:00 Asu - 07:00 Asu

: 06:00 AM - 07:00 AM

Jmosi / Jpili & Sikukuu

: 06:00 AM - 07:00 AM

: 07:00 PM - 08:00 PM

: 06:00 AM - 07:00 AM

Miradi & Ushirikiano